yule anasema Muungano wa wavuta bangi ipigwe marufuku - TopicsExpress



          

yule anasema Muungano wa wavuta bangi ipigwe marufuku lazima hajawahi vuta akaskia utamu wake..kwanza naskia gava inakata tax,me nablv bangi ndio inatumiwa sana kuliko anth else,80% ya wakenya huvuta bangi vinoma na huwezijua..gava inafaa imake hii plant legal since its aherb not adrug, na pia economy ya kenya itapanda,kuavoid hzi story za inflation.na iblv bangi ikifanywa legal then maziwa itatumiwa kwa wingi en gava itakata tax mob..ebu like Muungano wa wavuta bangi uskie kilio cha wavuta bangi
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 07:46:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015