AUDIO:TFF WATOA KAULI KUHUSU UHAMISHO WA MSHAMBULIAJI EMANUELI - TopicsExpress



          

AUDIO:TFF WATOA KAULI KUHUSU UHAMISHO WA MSHAMBULIAJI EMANUELI OKWI...........SOMA HAPA Ishu ya mshambuliaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi ambae aliuzwa na klabu yake ya Simba ya Dar es salaam kwa Etoile Sportif du sahel ya Tunisia bado inaendelea kuchukua headlines. Inatokana na mshambuliaji huyu sasa hivi kuruhusiwa na mamlaka kuu za soka duniani (FIFA) kuchezea club yake ya zamani ya Villa ya Uganda wakati ambao bado club yake ya Simba haijalipwa hata shilingi moja na waarabu hao wa Tunisia. SIKILIZA AUDIO HII KUTOKA TFF:-
Posted on: Thu, 14 Nov 2013 06:23:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015