Admin sina haja na kuficha jina langu.naitwa caro kutoka kisumu.mi - TopicsExpress



          

Admin sina haja na kuficha jina langu.naitwa caro kutoka kisumu.mi nlipatana na boy hapa fb last year n kwa bahati zuri alinkumbalia kuwa mkewe.baada ya mwezi tu nkapata mimba na hapo ijumaa nlijifungua mtoto wa kike malaika.ye alikuwa yuanipenda sana manake sikukosa nlichoitisha. Sijui afta kujifungua nini ilifanyika.alinichapa makofi,for no reason,na akabeba vitu za maana akaniacha na mtoi hapa bila hata hela za kumlisha.nkikumbuka venye nlikuwa nampenda afu simwoni yanifanya kichaa.mtoi analia juu nyonyo hazitoi chochote.nimesumbuka tokea iyo siku mpaka nataka kuchukua hatua nyingine.Naona nkijitia kitanzi,afu niue ama niache uyo mtoi asumbuke peke yake stakuwa nmekosea. Mafans,kama mna roho ya hutu,nipeni mawahidha venye ntafanya. Niue malaika wangu ama nijitie kitanzi nimwache pekee ama tufe wote wawili?
Posted on: Thu, 03 Oct 2013 06:52:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015