Ajira ya uhakika isiyo na mizengwe ya kukuingizia kipato cha kila - TopicsExpress



          

Ajira ya uhakika isiyo na mizengwe ya kukuingizia kipato cha kila mwezi milele iko Ukialika watu wa kutosha basi hela utakazokuwa unapata kila mwezi hata mtu mwenye digrii tatu hawezi kuota kukufikia kipato chako milele. Vijana sikilizeni ushauri wangu wa bure na mchangamkie fursa hii. Kwa fursa hii, unatakiwa utumie nguvu za ziada ili ubaki kulalamika kuhusu ukosefu wa ajira au kipato kidogo unachopata kwenye ajira uliyokuwanayo sasa hivi!!!!!!!!!!!!!!!! Ajira ya kwenye tovuti Muajiri: Perfect Internet Inc. iliyopo Las Vegas Marekani Nafasi: Majaribio ya Perfect App. Hii ni ajira ambayo haikuzuii kuendelea na shughuli zako ulizokuwa nazao sasa hivi. Mda wako wa ziada unatosha kabisa kufanya shughuli hii. Maelezo ya Kazi: Kutumia Perfect App kama una laptop au desktop au kualika watu wengine watumie Perfect App kwenye kipindi hiki cha majaribio kitakachodumu mpaka 28th February 2014. Hata kama huna laptop au desktop au simu wewe jiunge tu na uwaalike watu wengine wafanye hivyo kwani wakianza kutumia hii Perfect App na wewe utalipwa pia. Vilevile mda si mrefu Perfect App itaweza kutumika kwenye simu zetu za mkononi hata kama simu yako sio smart phone. Kujua Perfect App ni nini sikiliza video hii youtube/watch?v=Zg1NbokGXAo&feature=player_embedded Sifa: Hakuna elimu yoyote rasmi inayohitajika zaidi ya kuwaalika watu wengine ili na wao waweze kushiriki kwenye kipindi hiki cha majaribio ya Perfect Internet. Umri: Kuanzia miaka 14 na kuendelea Mshahara: Kila lisaa limoja la kuitumia hii Perfect App utalipwa $0.01 kwa mwezi huu wa October 2013 na kiwango hiki cha malipo kwa saa kitakuwa kinaongezeka mwezi baada ya mwezi kadri watumiaji wa hii App ya bure watakavyokuwa wanaongezeka. Vilevile utalipwa kila lisaa limoja la matumizi ya hii Perfect App na watu uliowaalika na wale walioalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini. Kwa mfano kama ukialika watu 20 na hao uliowaalika wakaalika watu 20 kwa miongo mitano kwenda chini basi utakuwa na jumla ya idadi ya watu 3,368,420. Tuchukulie kwamba kila mtu katika hawa katumia Perfect App kwa lisaa limoja tu katika mwezi fulani. Kwa kiwango cha sasa cha $0.01 kwa lisaa limoja, ina maana utapata $33,664.2 kwa mwezi huo. Jinsi ya Kulipwa: Malipo yatafanyika kwa kutumia Debit Card za kimataifa za Perfect Internet ambazo zitakuwezesha kuchota pesa kwenye ATM mashine yoyote ile hapa duniani ambayo imeunganishwa na mtandao wa VISA kwa mfano ATMs za CRDB, Citibank, n.k. Habari za Debit Card yako, Cash Factors zako, kiungo chako maalum kwa ajili ya kualikia watu ili wajiunge kupitia kwako, wanachama waliojiunga kupitia kwako na sehemu ya kuripoti tatizo lolote uliloligundua wakati unatumia Perfect App vyote hivyo utavipata kwenye ofisi yako mahsusi ya hewani mara baada ya kujiunga na fursa hii. Siku ya Malipo: Malipo yatakuwa siku ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata mwezi wa matumizi ya Perfect Internet. Kwa mfano malipo kwa matumizi ya Perfect Internet kwa mwezi wa October 2013 yatalipwa 15/11/2013. Kwa mara ya kwanza unatakiwa uwe umepata angalau $50 ili malipo yaweze kufanyika. $25 ni gharama ya Debit Card na $25 ni kiwango cha chini kabisa ampapo Perfect Internet wanaweza kuweka Pesa ndani ya ATM Malipo baada ya kipindi cha majaribio kwisha: Utaendelea kulipwa baada ya tarehe 28/02/2014 kwa kila lisaa utakalokuwa umetumia hii Perfect App na kwa kila lisaa la watu uliowaalika na wale walioalikwa na watu uliowaalika kwa miongo mitano kwenda chini Jinsi ya kupata kazi hii: Bonyeza kiungo hiki ujiunge na timu ya majaribio ya Perfect APP:perfectapp.biz/?refid=56f8ee6694 Kwa hiyo..wewe ukitashajiunga but make sure kwamba kwenye hiyo link unaweka ile ya kwako ambayo umepewa kwa ajili ya kualikia watu...
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 15:58:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015