Al-Shabab: “Mji wa Nairobi mito ya Damu itatiririka endapo Kenya - TopicsExpress



          

Al-Shabab: “Mji wa Nairobi mito ya Damu itatiririka endapo Kenya haitowaondoa wanajeshi wake kutoka Somalia”. Tamko iliyotolewa na Harakat Al-Shabab Al Mujahideen iliwaonya baadhi ya viongozi wa Kisiasa nchini Kenya waliodai kuwa wanajeshi wa KDF wataendelea kusalia nchini Somalia ambapo tamko la Al-Shabab ilisema Kenya bado haijajifunzo au kuwa na mazingatio katika Shambulio la Kituo cha kibiashara la Westgate Shoping Mall iliyopo katikati ya Mji wa Nairobi,hata hivyo Tamko hili iliongeza kuwa Viongozi wa Kenya watajutia Mashambulio mengine itakayosababisha Maafa,mauaji dhidi ya raia wake. “Harakat Al-Shabab Al Mujahideen itaendelea na Harakati zake za kuishambulia na kuzishambulia Mji wa Nairobi pamoja na Maslahi ya Serikali ya Kenya hadi hapo Askari wa mwisho wa KDF atasalaia katika Ardhi ya Kislaam ya Somalia,” Hata hivyo Mujahidina wa Al-Shabab wamesema Wananchi wa Kenya hawatokaa kwa Salama na Amani endapo Serikali ya Kenya inapojihusisha na Masuala ya ndani ya Somalia. “Ikiwa bado viongozi wa kisiasa wa Kenya wataendelea na msimamo wao wa kuitetea uvamizi wa wanajeshi wao katika Ardhi yetu ya Kislaam na bado kutaka kuendelea na makosa yao ya kijinai dhidi ya Nchi yetu pamoja na wananchi wetu wa Kislaam,na wao wajue na watambue kuwa Wananchi wa Kenya hawatopata Salama na Amani katika Nchi yao ya Kenya.” Tamko hili ilisema kuwa Mujahidina wa Al-Shabab wanayo Haki ya kuilindi nchi yao na Wananchi wake dhidi ya uvamizi wowote wa Makafiri,na iliongeza kuwa watatumia njia yeyote ile kuilinda Ardhi yao na Dini yao kutokana na Uvamizi wa Msalaba. Tamko hili iliyotoka katika ofisi ya Habari na Maelezo ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ni majibu kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliyetoa kauli kuwa wanajeshi wa Kenya wataendelea kusalia nchini Somalia,na pia Onyo hili iliyotoka kwa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imeongeza mapigo zaidi ya Moyo kwa wananchi wa Kenya ambao bado wanaendelea kuuguza madonda ya Majengo ya Westgate mjini Nairo.
Posted on: Sat, 05 Oct 2013 18:29:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015