BUSTANI SHOW PAGE 4: KCPE SPECIAL EDITION Jamboz wanaJeshi wa - TopicsExpress



          

BUSTANI SHOW PAGE 4: KCPE SPECIAL EDITION Jamboz wanaJeshi wa Bustani? Natumai uko freshi ndani ya show. Hii time tunamshukuru Mungu kwa kuwalinda wanafunzi wetu wa darasa la nane hadi sasa wanapoufanya mtihani wao wa taifa (KCPE). Basi chukua hii fursa kuwatakia mema na kuwapa mawaidha ya kuwafanikisha katika mtihani wao na kuwaonya. Ni jinsi gani wanapaswa kuwa wakati wa mtihani? wajipushe na nini? Wafanye nini? 0717147782 Arnold Argertta hapa nikikuongoza kuwatakia mema wanafunzi hawa wa STD 8.
Posted on: Sun, 10 Nov 2013 04:55:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015