Baba: ni nini mwanangu? Mbogo: nguo ya mwalimu iliingia katikati - TopicsExpress



          

Baba: ni nini mwanangu? Mbogo: nguo ya mwalimu iliingia katikati ya matako yake, nikatry to be good nikaitoa ndio akanichapa ati ni tabia mbaya. Baba: usirudie hiyo tabia tena.. Kesho yake tena mbogo anarudi akilia. Baba: vipi tena? Mbogo: nguo ya mwalimu iliingia tena na Deno akaitoa.. Mi nikamwambia ni tabia mbaya ndio nikairudisha tena pale pale katikati ya matako ndio akanichapa tena viboko za nguvu sana. Baba: (huku akijiambia kimoyomoyo).. Afathali ningezaa miraa nishikishe overnight!!
Posted on: Tue, 09 Jul 2013 11:21:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015