"Biashara ni Kuuza na Kununuliana" kauli hii iliwahi kusemwa na - TopicsExpress



          

"Biashara ni Kuuza na Kununuliana" kauli hii iliwahi kusemwa na Rais Alhasan Mwinyi. Napenda kuwajulisha marafiki mtu yoyote yule ambae ana shida ya original battery, keyboard na vifaa vingine vya computer tuwasiliane zaidi. Unachotakiwa ni kuniambia "Aina ya computer unayotumia, model yake" e.g. HP CQ61, Dell D620 n.k Baada ya hapo tutaingia mkataba wa mimi kukuletea battery hiyo baada ya week mbili na kukupa guarentee ya miezi mitatu. Katika mkataba huo hakuna sharti la malipo ya awali au down payment. Ni wewe kukubaliana na mimi bei ya kitu hicho na uwe tayari kununua kikifia, hayo ndiyo masharti makuu.
Posted on: Tue, 17 Sep 2013 18:49:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015