Bila soo na-blow flow juu ya ala / Bila hoes bila dough - TopicsExpress



          

Bila soo na-blow flow juu ya ala / Bila hoes bila dough nina-roll kila himaya / Nina-metaphors,better flows,pole haters,mliojaa maringo kama bishoo la kihaya / Mhuni ninaujuzi wa kufaa / Buzi la kitaa macho wima kwa michuzi ya papaa / Maalim mapinduzi ya jihadi / Nasikika juu ya kick,snare,piano,ninaujuzi wa kitaa / Kwenye court ya basketball dubo ni next gasol / Ukibugi mjini rudi kijijini kama best naso / Emcee bishoo macho kwenye promo / Dubo cheka wa maugo njoo nikupe nako ya mdomo / Niite marco polo / Jitu mwitu msitu sina mpango na ma-yoyo / Usiku macho kama popo/ Napo-grab M.I.C napiga vibompa / Malkia wa rap Madee a.k.a Khadija Kopa..!!!! #Team Dubo Jesus Son
Posted on: Sun, 03 Nov 2013 09:07:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015