CHEKA KIDOGO NA HII... via Comedy Africa Blog < Siku ya - TopicsExpress



          

CHEKA KIDOGO NA HII... via Comedy Africa Blog < Siku ya kwanza MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?. MKE: Salama tu MUME: Uko wapi? MKE: Jamani si niko nyumbani MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikie.....mke­ akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Okay haya mi natoka kazini naja Siku ya pili MUME: Vipi mko salama huko? MKE: Tupo kama ulivyotuacha MUME: kwani uko wapi? MKE: Niko nyumbani napika MUME: Washa brender kama kweli uko nyumbani Mke akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Poa ntarudi baada ya masaa mawili Siku sita baadae mume akaamua kurudi bila kumtaarifu mkewe alipofika home kamkuta mdada wa kazi yuko peke yake. MUME: We mama yako yuko wapi? MDADA: Sijui ameondoka na blender toka asubuhi SHARE NA WASHKAJ WAJANJA #SNWW
Posted on: Wed, 06 Nov 2013 06:36:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015