CONDUCTOR: Heeeh ..mrembo....tao 60. DAME: Usiniguze!!!! - TopicsExpress



          

CONDUCTOR: Heeeh ..mrembo....tao 60. DAME: Usiniguze!!!! CONDUCTOR: Pole pole sista...ingia hii mat. kuna kiti hapa mbele. DAME: AAh...kwani utaniforce niingie...niache....nkt.....nahizo mikono zako chafu.nkt..mjinga! CONDUCTOR: Sawa...sawa *anaenda zake.* after 10 mins bado mat haijaenda. DAME: Ati ulisema how much tao?? CONDUCTOR: 100 DAME: Ati 100...si ulisema 60 CONDUCTOR: Ni venye umesema niko na mikono chafu...nikaona ni poa niongeze hiyo 40 bob ya sabuni ninawe mikono.nkt!
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 10:06:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015