COPY N PASTE WAJANJA HIVI UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE - TopicsExpress



          

COPY N PASTE WAJANJA HIVI UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE HAPA Niligombana na MPENZI wangu Nilimpigia sm hata hakunielewa, Nilimtumia best zake Bila mafanikio. Bas kunA sIkU niliamua kufanya suprize kidogo nilinunua, kuku alietengnezwa safi(akarostiwa,Chocolate kubwa, kard nzur, na vit vidogovdogo, Basi nikavaa vizur Nikaelekea kwao, Kufika Kwao Bahat nzur nilimkuta, Nikampa maneno matamu matamu kisha nikampa zawdi, Dah huwezi amini Kavitupa katika pitbin, Mi kuona hivyo.... nikaamua kuondka; kumbe nilivyokuwa pale kwa bahati mbaya nilidondosha funguo maeneo ya kwao so niliamua kurudi maeneo hayo ili niutafute ufunguo wangu ile nafika karibu na kwao, si nikamuona 'ANAMLA YULE KUKU', kuangalia ktk dustbin vile vitu skuviona duh kweli kuna watu wajua kuigiza
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 11:52:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015