DUNIANI KUNACHOLIPA ZAIDI NI VIPAJI NA KAMWE CYO - TopicsExpress



          

DUNIANI KUNACHOLIPA ZAIDI NI VIPAJI NA KAMWE CYO TAALUMA... ,....Raisi Wetu Hufungua Wallet Yake Na Kuingiza Tsh 32 MIL ,kila Mwisho Wa Mwezi,kwa Elimu Yake,na Taaluma Yake... ......Makamu Wa Raisi Amaweka Kibindoni, Tsh 26 MILION,kila mwisho wa mwezi... Gnerigneri YAYA TOURE wa manchester city anaweka kibindoni...Tsh 600 MILIONS Kila Mwisho Wa Wiki Kwa Huduma Yake Manchester City...Hii Inamaanisha Kwamba Anachukua..600 MILLION X 4=2400 MILLIONS..Kila Mwisho Wa Mwezi... .....Juma Kaseja Aliweka Kibindoni Tsh 40 MILION Kama Transfer Fee Kuja Yanga...Akiwa Na Elimu Yake Ya Kidato Cha Nne...Makongo Secondari .....Mesuit Ozil Alihamishwa Kwa Jumla Ya Sh Paundi 42 MILLION kuhamia arsenal kutoka real madrid fc...akiwa ni mchezaji aliesajiliwa kwa fedha nyingi zaidi kuja ENGLAND... Jamani Hiki Kitu financial Fair Play Mbona Hakifiki?Nimeshajichokea Mm Bhana.... Mob 0652 98 44 52
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 04:02:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015