Dah! Haya sasa majanga. . Npo zangu hapa kibalazani na b mkubwa - TopicsExpress



          

Dah! Haya sasa majanga. . Npo zangu hapa kibalazani na b mkubwa 2na pga stori huku na like post zenu fb sa kuna jamaa ame pita aka sema n mfungulie akaunti mpya b mkubwa kusikia akaunti ina funguliwa kupitia cmu nae c ame anza kuni sumbua n mfungulie. . B mkubwa > we navigetor embu n fungulie hyo akaunti maana nime choka Navigetor > ume choka nini sasa b mkubwa ? B mkubwa > yani nime choka kupanga foleni nmb,barclays,crdb,nbc embu n fungulie hyo akaunti ya facebook alaf nita kupa zile hela za saccos uni wekee humo kwenye akaunti Navigetor > hahahahahahahahahahahahahahaha duh! Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi we b mkubwa una ucngzi embu nenda kalale B mkubwa > sasa una cheka nini we mpumbavu..embu ni fungulie Navigetor > b mkubwa hii akaunti haiweki pesa bali ni tuna chat tu na watu tofauti tofauti hehehehehehe B mkubwa > kumbe mimi nili zania kama bank akaunti au tigo pesa,m pesa. . Duh majanga! #misheni_tauni & #janja_janja
Posted on: Wed, 03 Jul 2013 11:26:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015