Diwani Pamba, viwanja vya wazi vidogo kama 100 hivi, hakuna mtu - TopicsExpress



          

Diwani Pamba, viwanja vya wazi vidogo kama 100 hivi, hakuna mtu kaenda Mahakamani lakini hamjaweka vibao. Palipo zungushiwa mabati opp Delux Hotel, vimo viwanja vya wazi kama 2. Hivi vyote huru kabisa tuanze kuvitumia na chukua injunction kuwa marufuku kuvamiwa. Nione nikufundishe hii kazi niko Mahakamani. Mwisho pole kufunga ofisi ya Chadema Kata Sinza yapata sasa miezi kadhaa. Watu wauliza shughuli uongozi mwafanyia wapi na mwaka kesho uchaguzi serikali za mitaa?
Posted on: Sat, 21 Sep 2013 19:47:35 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015