Dunia yahuzunisha tena inasikisha, makanisa nayo Miji yazidi - TopicsExpress



          

Dunia yahuzunisha tena inasikisha, makanisa nayo Miji yazidi kupamba migogoro, chanzo fitina, wivu, uchu wa madaraka na mali, lakin Misa nazo ibada kwa hakika wanahudhuria, Mapema, masengenyo, majivuno vyote vimewafunika roho, nasema mkiambiwa kutubu madhambi, mwasema hamna dhambi kwa kiburi chenu mwajidanganya na hukumu yaja. Sasa ndugu ulevi wakusaidia nini, kubali kutubu umpokee Yesu. Ewe ndugu ndugu yangu Uzinzi wakusaidia nini, kubali kutubu umpokee Yesu.
Posted on: Fri, 26 Jul 2013 05:14:23 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015