ENZI ZETU.... Unakumbuka ukiwa primo, githaa imefika - TopicsExpress



          

ENZI ZETU.... Unakumbuka ukiwa primo, githaa imefika 12:40pm...lunch ilikuwa 12:45pm...ndo hapo unapata tumetoa tuvichwa kwa dirisha, juu bell ringer alikuwanga class seven, macho yote iko kwa hio block. Acha tu mtu atoe kengele kwa dirisha, kabla hata haijapigwa, tushafika kwa gate. unakimbia yako yote mguu chuma hata mawe huskii, then kufika home, mum amepika uji, hata sukari haina :-( arama ya dukuduku.... #long live mum
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 14:42:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015