FALSAFA BORA YA MAISHA YAKO: 1. Usikubali kuzoeana ghafla na mtu - TopicsExpress



          

FALSAFA BORA YA MAISHA YAKO: 1. Usikubali kuzoeana ghafla na mtu usiye mjua. 2. Unapoitwa ghafla usigeuke, puuza kama usikii ili kupima sauti ni ya nani. 3. Usipendelee kutumia njia moja, badilisha njia nyingine ili usiwe maarufu kwa njia fulani. 4. Popote utakapo kwenda fuata shida yako iliyokupoleka. 5. Epuka kuchunguza kitu kisichokuhusu na epuka kulaumu hadharani. 6. Jitaidi kumjua mtu tabia yake. 7. Mjali mwenzako tunza siri na jitaidi kutimiza ahadi. 8. Ukiaminiwa basi na wewe jiaminishe. 9. usiwe na tabia ya kudharau wenzio. 10. Ridhika na ulicho nacho.
Posted on: Tue, 23 Jul 2013 07:08:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015