FALSAFA NZURI YA MAISHA:-Usipende kusikiliza habari za watu - TopicsExpress



          

FALSAFA NZURI YA MAISHA:-Usipende kusikiliza habari za watu utajikuta una deni la kuwasimulia habari zko,Usimlaumu mtu kwa kukunyima mwaliko ktk jambo lake dhahir jambo hlo halikuwa na kheri kwako,Usipende kuulza kla jambo kwan majibu mengne yaweza kuhuzunisha moyo wako,Usipende kumsimulia kla m2 furaha yako kwan mahasidi hujifanya hujifanya kufurah pamoja nawe kumbe mioyo yao inawauma,Unapoitwa ghafla usigeuke puuza km husikii ili kupima sauti ni ya nani.HAYO NI MACHACHE KTK MENGI YAKUJIFUNZA KUHUSU MAISHA
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 22:38:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015