FC BASEL 1-0 CHELSEA, POLE SANA MOU, ILA HUU NI - TopicsExpress



          

FC BASEL 1-0 CHELSEA, POLE SANA MOU, ILA HUU NI UTANI. Nimechukizwa sana. Chelsea tumepatwa na nini msimu huu, tuna piga hatua moja mbele, baada ya hapo tunapiga hatua moja nyuma, afu bado wachezaji wanaokaa bench ni wale wale. Ni kitu kizuri kukubali kuwa umefanya makosa katika uchaguzi wa wachezaji na pia kulalamika juu ya uchovu wa wachezaji, lakin wewe ndo muamuzi, nani acheze na nani asicheze. Na pia kama kweli Mou ulikuwa unalijua hilo suala la uchovu wa wachezaji, kwanini hukuchukua hatua yoyote? Pia upande wa pili, vipi kuhusu wachezaji ambao wao kila siku ni bench au kwa maana nyingine, lin watapata nafasi ya kucheza? Kwa maoni yangu usiku wa jana, ulikuwa muda sahihi sana kukibadili kikosi, hususani wengi wao wale waliocheza mechi dhidi ya West Ham, huku akijiandaa na kuwapa mda vijana wa pumzike, tukiwangojea Southampton. Kwanini tusingempumzisha Ivanovic na kumchezesha Azpilicueta Full back wa kulia?Ashley Cole au Betrand nae acheze namba tatu, beki za kati JTna Gary Cahill? Kwanini Frank Lampard asingepumzika, na badala yake, Ramires angecheza pamoja na Mikel? Maana kumchezesha Lamp, Obi na Rami, unatengeneza viungo wenye akili ya kujihami mda wote, pia kwa umri wa Lamp anahitaji kucheza mechi kidogo kulinganisha na vijana. Ukiangalia idadi ya mechi alizocheza Oscar, na pia mechi za kimataifa alizotoka kucheza, kwann asimpe nafasi Mata ambaye anamda mrefu san yupo nje, pia kwasasa, hana uchovu wowote, ukizingatia mpaka sasa kacheza mechi chache sana. Kama kweli Fernando Torres alikuwa fit, na angeweza kucheza game ya Westham, na akaamua kumuweka nje, kwa ajili ya mechi hii, kwann jana hakuanza? badala yake akamcheesha Etoo tena! Tukirudi kwenye kile kilicholindimu uwanjani, tulisikitisha sana. Tulishindwa kumiliki mpira kwa muda mrefu, ili tuweze kuutawala mchezo. Tulipungukiwa na kila kitu nje na ndani ya box matokeo yake tulitoka bila shot on target, huu kwa kwel ni utani wa hali ya juu. Watu wanasema, poa tu, hta hivyo tumefuzu, kweli? mechi nzima ya jana hcho ndo cha kujivunia?People say Well at least we qualified! Thats the only positive! Jose inabidi utatue hili tatizo, mweke ndani Mata, na hayo marekebisho mengine, sio kila siku unavisingizio kibao. By G KTBFFH!
Posted on: Wed, 27 Nov 2013 14:35:21 +0000

Trending Topics



le="min-height:30px;">
GM MY RIDE OR DIES: Donna Patrice Moses, Charlene Smith, Angie
Chris Hedges was hated by #OWS because of some comments he made

DON BOSCO AT THE EDUCATIONWORLD INDIA SCHOOL RANKING 2013 In

Recently Viewed Topics




© 2015