Facebook ya Tanzania huwa ya Kiswahili,utakayuta mambokama - TopicsExpress



          

Facebook ya Tanzania huwa ya Kiswahili,utakayuta mambokama haya:- * Juma aligawa picha yake (shared his own photo). * Kaseja alikuongeza picha yako (added a photo of u). * Husna anaimezea picha yako (likes ur photo). * Mussa aliuaga kapera akaingia makandawirani (wentfrm being single to in a relationship). * Zuhura kaandika kwa ukuta wako (posted on ur wall). * Zainabu alikuweka sandukuni (inboxed u). * Mwanaisha ako katika umakandawira uliofunguka (inan open relationship). * Amidu alikuzaba kigumba (poked u). * Mwanaisha ameguandika kwa picha yake (Tagged u in her photo). . . . . . /... #DEAD #moseshandsam
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 19:59:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015