GAL; Mambo swits? . BOY; Poa sana hun,,, Uko wapi? . GAL; Niko - TopicsExpress



          

GAL; Mambo swits? . BOY; Poa sana hun,,, Uko wapi? . GAL; Niko 2 hapa hom niki watch moviez,,,,,, . BOY; Hata mi nko kejani 2 nimeboeka yangu yote,,,, Si naeza kam huko 2rilax pamoja?? . GAL; Brilliant idea! By the way beib ukikam unikujie na yoghut packet moja na ka black forest cake,,,, . BOY; Khai! Yoghut na hii baridi yote?? Aki my dear staki ukue mgonjwa,,,, . GAL; Sawa basi kam na keki pekee,,,, . BOY; Uuuuiii,,,, Hun nlikukataza kukula hizi vitu za sukari mob,,,, Meno zako zita spoil,,,,, . GAL; Gosh! Sasa utakam na nini??,,,, Basi pitia kwa Baba Kim ununue maini nusu then ukam nayo tupike,,,,, BOY; What??? Swity hukuona news juzi??? Hizi nyama za skuizi haziaminiki! ,,,, Unaeza dhani ni nyama poa kumbe unakula tumbili,,, , GAL; Nkt! Basi nikujie na mahindi chemsha ya ten bob!. . BOY; Woow! Thats my beiby
Posted on: Fri, 29 Nov 2013 10:54:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015