HABARI ZA ASUBUHI WADAU IKIWA LEO NI JUMATANO YA TAREHE 24 YA - TopicsExpress



          

HABARI ZA ASUBUHI WADAU IKIWA LEO NI JUMATANO YA TAREHE 24 YA MWEZI WA 7 MWAKA 2013: Rais wa Sudan Kusini Salva Kir amelivunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza kazi Makamu wa Rais Riak Machar. Marekani yatoa wito kwa Rwanda iache kuwasaidia waasi wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Rais wa Madagascar ashauriana na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania kuhusu mzozo wa kisiasa ulioko nchini mwake. HAYO NA MENGINE MENGI ENDELEA KUFATILIA PAGE HII.
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 03:12:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015