HIGH SCHOOL MEMORIES>>> unakumbuka ukifanya exam ya Maths(P1 ama - TopicsExpress



          

HIGH SCHOOL MEMORIES>>> unakumbuka ukifanya exam ya Maths(P1 ama 2) halafu: 1.watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply 2.watu wanaitisha extra paper na wewe umemaliza exam na paper haijafika halfway. 3.umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia 4.watu wanachora diagrams na pencil ,wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka. 5.mnaulizwa nani amemaliza,unaamka unajipata uko solo, unafeel aibu hadi unaketi 6................................................. 7................................................. #Memories_Are_Made_Of_These
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 08:17:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015