HII TABIA HATUTAKI: * kama ukivisit beste yako, unaoga na - TopicsExpress



          

HII TABIA HATUTAKI: * kama ukivisit beste yako, unaoga na sabuni yake na unawacha ikiwa imejaa mafudhi.... Hata nawe!!! *kama ukikiss na chali mnatoa sauti ni kama munakunywa uji. Mungu awaonekanie. * Dem kusalimia machali eti "NIAJE ARIFF/ MZITO" INAKUWAJE MTU NGUWA".... Toa ujinga hapa. *ka wewe hujiita majina funny eti"ARNOLD SWAGILICIOUS YULE MHOT" Hehehehe u must be gay. *kama wewe hublock dem wakati amekataa kuingia box yako... Bro wacha ufala. *kama wewe hu update vitu unaona kwa telly, eti "LILIAN MULI AMEVAA SKIRT FUPI NIAJE" funda hii unadhani wewe ndio una tv peke yako. * kama wewe ni wale wakuita machali wa wenyewe "Dear""swits" kwa wall zao... Wewe hata unafaa kunyofolewa. * kama unasoma update zangu then tukipatana kwa street unanikumbusha "DENNOH HAKI WEWE UMEHARIBIKA, NINI HIZO UNAANDIKA KWA FB".... Mboss nitakuwass faimba utashangaa. *kama unashinda mukiandikiana na ur patner kwa wall...eti "JANA ULIKUWA MHOT TU XANA"....nkt sa mnatu feelisha ama? Si mutumie inbox. #Dennoh The Goldenchild 3 minutes ago near Nairobi Like · 2 Comments · Share
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 06:53:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015