HUMU KILA MTU ANATAMANI APATE LIKE NYINGI: Uongo? (y) Anaepata - TopicsExpress



          

HUMU KILA MTU ANATAMANI APATE LIKE NYINGI: Uongo? (y) Anaepata Like 20 Anatamani Apate Like 50 na zaidi (y) Anaepata like 50 Anatamani Apate like 80 na zaidi (y) Anaepata Like 80 Anatamani Apate 100 Na zaidi (y) Anaepata Like 100 Anatamani Apate like 200 Na Zaidi (y) Anaepata like 200 Anatamani Apate like 300 na zaidi (y) Anaepata Like 300 Anatamani Apate like 500 na zaidi Yani ni hivyo mpaka 1000: NB: Ni mawazo yangu ila hata uka tae ndo hivyo yani:
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 10:11:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015