Habari mtanzania mwenzangu..Band ya VICTOR SOUND imemkaribisha - TopicsExpress



          

Habari mtanzania mwenzangu..Band ya VICTOR SOUND imemkaribisha msanii hodari anae tambulika kama CHRISTIAN BELLA..Siku ya ijumaa sawa na tarehe 29 mwezi huu msanii huyo wa bolingo aliwasili kwenye maeneo ya mbagala kiburugwa kwenye majira ya saa 8:00 mchana..kwa kweli msanii huyo wa bolingo kwa mbwembwe za kupita kiasi kwani hakujari waandishi wa habari labda wangemchukua kwa kumpiga picha..MKURUGENZI wa band hiyo bwana MH.DANIEL DENGA amesema amefurahishwa sana kwa kumsajiri msanii huyo mkongo na alizidi kwa kusema kwa kusisitiza kwani mda wake wa kupiga pesa nyingi hapa tz umewadia..sasa basi msanii huyo amekubali kujiunga na band hiyo ya victoria sound na kwa malipo bado haijatamburishwa na uongozi wake... ukitaka habari kamili tembelea kwenye email yangu [email protected].....
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 23:16:50 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015