Hahaa.. nakumbuka nikiwa chuo day flani nilchapwa kama burukenge - TopicsExpress



          

Hahaa.. nakumbuka nikiwa chuo day flani nilchapwa kama burukenge na ki deputy yaani tulipanga line ya supper 5pm instead of 6:30 so deputy akauliza mbona kupanga line mapema ivo mimi nilikua na katabia ati nichekeshe maboiz nika shout tumeround off! Wee buda mboss fafarai sema viboko mabare nazo ngai papa ushai chapwa hadi magoti ina sweat? Nikamwambia hata yesu hakuchapwa iyo style ndio akaniwacha kutoka hapo nilikua nimelewa! Bana. Hadi leo displine sio pris#
Posted on: Fri, 12 Jul 2013 16:24:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015