Hahaha ati sasa kamenijamia mimi,kanaongoja nikabembeleze, .wooi my dear gal,mimi hii ujinga ya kubembeleza mtu anawesa maliza chapo mbili,hyo sfanyangi. . . Unajaribu kuniletea tumapenz ya soap opera nipeleke wapi. Kumbuka mtaa ni Kawangware si San Pedro, na jina ni #Mkareh si Alehandro!! So punguza mbio dada. Endelea kuvimba ukipasuka rip swry, na usipo rudi nakungoja. MADEM wengine hukua aje lakini????
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 19:35:58 +0000