Haya ndio aliyoyafanya mbunge wa Bukene kwa kipindi cha miaka - TopicsExpress



          

Haya ndio aliyoyafanya mbunge wa Bukene kwa kipindi cha miaka mitatu, Nanukuu: Ni vizuri pia ukawajulisha wana Bukene mambo ya kimsingi yaliyofanyika jimboni katika miaka mitatu ya ubunge wangu, kama Umeme REA phase 1,Itobo na Bukene, Umeme REA phase 2, Lububu, Mwamala, Igusule, Mwangoye na Mambali. So far, Nimechangia Mil 141 katika shughuli mbali mbali jimboni, Visima virefu Buhondo, Mahene, Nawa, Ikindwa, Itobo na Sigili. Maji ya ziwa Victoria, Igusule, Mwamala, Itobo na Busasi, Minara ya simu, Mbutu (tayari), K/Nhalanga, Karitu na Isagenhe (2013/2014), Vifaa Tiba (27Milions), Sola za zahanati, Ikindwa, Mwamala na Isagenhe. Madawati fron NMB (5Milions), Benki ya Posta (5Millions), Barabara (Mpya) Mogwa-Usalala-Kagando-Semembela), Kuimarisha Michezo, so far nimegawa zaidi ya mipira 600 ya football, na jezi zaidi ya pea 150 na zaidi ya mipira 150 ya Netball, na jezi zaidi ya 32 za Netball, Ziara za mara kwa mara kujua kero na kuzitafutia ufumbuzi....
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 12:45:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015