Hehe si leo nimeota nimekufa ningaishia binguni, nkapatana - TopicsExpress          

Hehe si leo nimeota nimekufa ningaishia binguni, nkapatana na malaika maze si nilimbeg anipe chance nrudi. Akakubali nirudi but under one condition nirudi nkiwa kuku,mimi nkakubali coz skuwa na option ingine, mimi kuku sasa nkateremshwa duniani. Kufka nkapatana na jogoo akanirukia nkapata ball.months ikapass sa ilikuwa time ya kudeliver, nkataga mayai ya kwanza, ya pili, tatu, venye nlikuwa najaribu kutaga ya nne nkashtukia nimekideroliwa pap!. Nkaamka, bro kimesimama alaf akasema "JUSH KWA NINI UNAPUPU KWA BED SASA?".. What a mess
Posted on: Tue, 08 Oct 2013 06:46:20 +0000

Trending TopicsRecently Viewed Topics
© 2015