Hi admin, Naitwa Jerry kutoka Limuru. Nimeamka nikawasha TV na - TopicsExpress



          

Hi admin, Naitwa Jerry kutoka Limuru. Nimeamka nikawasha TV na nikapata ni pastor anapreach na chenye anapreach nikama ametumwa na God kwangu. Alipomaliza kupreach akaanza unabii na akataja vile huwa naumwa na kichwa side moja na mgongo na akasema God anataka mwenye ile shida atume 3k kwa M~pesa na waombe pamoja na nikatuma. Akasema watu washike TV waombe pamoja. Nikaamka kwa imani na nikagusa yangu na tukaanza maombi. Vile ameanza kukemea mapepo stima zikaenda. Saa mpaka sasa bado nimeigusa na sijui kaa nifungue macho infact nimechungulia side moja na jicho kando ndio nitume hii story niombe advise. Je, nikiwachilia na nifungue macho nitapona ama 3k zangu zimeenda bure?
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 15:25:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015