Hii nayo kali,nimeichukuwa katika kipindi cha zilipendwa TBC - TopicsExpress



          

Hii nayo kali,nimeichukuwa katika kipindi cha zilipendwa TBC Taifa,Ochestra Mkwawa Jazz Band,Bendi iliyokuwa ikiundwa na wanafunzi wa Mkwawa Secondary School na kutoa burudani mjini Iringa,ilirekodi mwaka 1972.Kundi liliundwa na Mark Manji-mpiga gitaa la second solo,John Mkwawa- mpiga gitaa la bass,George Sembony-mpiga gitaa la bass,Alkado Norman Hizza na Danford Mpumilwa ni waimbaji wakati Zakaria Kakobe ni mpiga tumba!!!!!!
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 20:44:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015