Hii series inayoitwa Bongo Politics inafanana na isidingo haishi - TopicsExpress



          

Hii series inayoitwa Bongo Politics inafanana na isidingo haishi ila kila siku episod mpya ila ina tofauti kidogo na isidingo hii Bongo politcs kila episod mpya haiendani na iliyopita na nzuri zaidi watazamaji wake wanaangalia episod moja ikianza tu nyingine wanasahau iliypita utamu ni pale soundtrack za series hii ya bongo politics zinavyopendwa na watazamaji ambapo inapokaribia kwisha na kutangazwa season nyingine hapo utakuta watengenezaji wa series hii wanopawakumbuka watazamaji kama fundi muhashi anapokumbuka kalai wakati wa kubebea zege nitaendelea wiki ijayo na uchambuzi wa series yetu onyo mimi ni napenda sana kutazama muvi hadi sasa naweza fikisha muvi kama buku na zaidi lakini hakuna series inayoboa kama hii
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 20:29:57 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015