Hii story enye imevuma eti kati ya Bamboo na Octopizzo nani mkali. Wacha sasa niwaambie,Bamboo atoshi kwa kiatu ya Octo, first of all Bamboo anafanyanga nini?? Bamboo ni katoi kadogo but kazee na Octo ni kijana mdogo but ana rule HIPHOP KINGDOM, watu wa mdomo kama Bamboo watanyamazishwa kama Abbas Kumbaff,,kama unabiff na OCTO sio yeye ndio atakunyamazisha, NAMBA NANE YOOH kuna jeshi kubwa bonga mbaya tukutoe mdomo fala wewe!! NKT!! Mc Lazy
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 16:31:47 +0000