Hii ya 4-0,kumbe 2015 kazi ipo, nimeenza mazoezi ya kula kiapo - TopicsExpress



          

Hii ya 4-0,kumbe 2015 kazi ipo, nimeenza mazoezi ya kula kiapo mbele ya Mh.Spika. Itakuwa hivi:MIMI....(a.k.a.Kayumba),NAAPA KWAMBA NITAKUWA MWAMINIFU KATKA JAMHURI YA TANGANYIKA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,NAAHIDI KULINDA,KUIHIFADHI NA KUITETEA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA TANGANYIKA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, EEE MUNGU NISAIDIE. wewe mbunge mzee uliko katika jimbo langu nakuomba kuachie ngazi kabla sijaanza kampeni la sivyo utatoka kwa aibu.
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 23:15:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015