Hizi basi za kwenda pwani zataka kuiga kila kinachofanywa kwa - TopicsExpress



          

Hizi basi za kwenda pwani zataka kuiga kila kinachofanywa kwa ndege. Basi juzi tumepanda moja kutoka Mombasa kwenda Lamu, Dereva kufika njiani akaanza kuongea kwa kipasa sauti; Mabibi na bwana,mko ndani ya basi ya Taweel,barabara ni nzuri, haina magari mengi, spidi yetu ni kilomita 80...ahhaaiiii alipiga unyende kisha akapiga breki za ghafla, lakini gari halikusimama, muda mfupi akaanza kuongea tena, basi msiwe na wasiwasi ni huyu mrembo amenimwagia kahawa, longi yangu mbele imeharibika kabisa Abiria mmoja akajibu kwa sauti, Wacha zako mshenzi, na ukiona longi yangu nyuma.
Posted on: Thu, 14 Nov 2013 11:55:57 +0000

Trending Topics



Një i dehur duke ec me shpejtesi e ndal polici: -A e dini se
As Salaamun Alaikum Sisters and Brothers, Please remember that
Jó 8 - 1. ENTÃO respondendo Bildade o suíta, disse: 2. Até
✖ Bald Eagle In A Tree, framed black metal, white matte
Sale Gamakatsu Hooks Round Bend Offset Shank Gamakatsu Check
Dear Sir/ Madam, Training Programme
so many people are asking if there is anything they can do,

Recently Viewed Topics




© 2015