Huduma mpya ya ulipaji kodi za magari -Road License- pasipo kufika - TopicsExpress



          

Huduma mpya ya ulipaji kodi za magari -Road License- pasipo kufika TRA zina tathimini ya nyota 5, daraja A. Kwa tathimini hii ina maanisha kuwa kiwango cha huduma hizi ni bora sana. Hongera TRA, keep it up. Kufanya hivyo kutawasaidia watanzania wengine kufahamu ubora halisi wa soko letu na kufanya maamuzi sahii, pia utawasaidia wafanyabiashara na watafiti kuboresha bidhaa na huduma wanazozipeleka sokoni. Tembelea wall ya Sokoni Tanzania na utoe tathimini yako kumbuka nyota 5 ni huduma au bidhaa bora sana, nyota 4 ni huduma au bidhaa bora, nyota 3 ni huduma au bidhaa za kiwango cha wastani, nyota 2 ni huduma au bidhaa dhaifu, nyota 1 ni huduma au bidhaa mbovu zisizo na ubora wowote.
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 14:07:09 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015