INNAA LIL-LAAHI WA INNAA ILAIHI RAAJIUUN !! KATIBU WA HABARI NA - TopicsExpress



          

INNAA LIL-LAAHI WA INNAA ILAIHI RAAJIUUN !! KATIBU WA HABARI NA UENEZI ND. AHMAD ABBAS AFIWA NA DADA YAKE BABA MMOJA, MAMA MMOJA. Idara ya Mambo ya Jamii inapenda kuwatangazieni taarifa ya msiba wa dada wa Katibu wa Habari na Uenezi nd, Ahmad Abbas. Msiba huo ulitokea usiku wa leo Jumatano nyumbani Tanzania maeneo ya Buguruni, Dar Es Salaam. Taratibu za mazishi zitafanyika nyumbani kwa mzee Abbas Nassir, Buguruni, Dar Es Salaam. Tunamuomba Allah aipe familia ya mzee Abbas Nassir moyo wa subra na uvumilivu. Aamiin!!
Posted on: Wed, 04 Sep 2013 21:14:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015