Imagine messages za MPESA zingekuwa zikikuja ki GHETTO. Ungepata - TopicsExpress



          

Imagine messages za MPESA zingekuwa zikikuja ki GHETTO. Ungepata SMS ka hizi: DM75EC927 Hii story imeconfirmiwa. Ume receive brambo mbao soo basa (ksh 20,700.00) from Kamah 254722838877 on 23/5/13 githaa ya 01.30 ma afte. MPESA balance yako pyamu ni brambo njere soo basa na tujongo tutatu (ksh 20,703.00). Kuna hii vako ya kusave na kuget ki loan kwa ile form ya MSHWARI... Thanx joh kwa ku use Saf the Mambo bad option. Na ya Okoa Jahazi je? Buda ile stori haileti shangwe, unatulenga sana, lipa deni yako ya okoa jahazi, kinde (ksh 10) by kesho ngware. Hakuna mbrrr...
Posted on: Tue, 25 Jun 2013 08:06:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015