Jambo muungwana, Tunakualika kujiunga na Dinah Gahamanyi katika - TopicsExpress



          

Jambo muungwana, Tunakualika kujiunga na Dinah Gahamanyi katika Matangazo ya Amka na BBC ambapo miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na: Marekani imeilaumu jamii ya kimataifa kushindwa kuwasaidia watu wa Syria. Wakuu wa nchi za maziwa makuu wakubaliana kumaliza mzozo wa DRC Na Burundi itabadili mfumo wa elimu ya msingi mwaka ujao. kutoka miaka 6 hadi miaka 9 .Baadhi ya raia wanalalamikia mabadiliko hayo, wewe unasema? Tutumie maoni yako kuhusu taarifa hizi na nyinginezo kupitia ukurasa huu. Shukran wa kuwa nasi
Posted on: Fri, 06 Sep 2013 02:08:18 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015