Kati ya hivi, kipi ni: UJINGA ? 1. Kuweka majani ya chai kwenye - TopicsExpress



          

Kati ya hivi, kipi ni: UJINGA ? 1. Kuweka majani ya chai kwenye Sprite ili iwe cocacola? 2. Kufikiri Mzungu ana kivuli cheupe? 3. Kudhani kuwa kuna wakala wa facebook Pesa? 4. Kumkimbia simba porini wakati ulikuwa unaenda kujinyonga? 5. Kujifanya umeokoka sana mpaka ugali unasongea msalaba? 6. Kutoa mimba halafu unalala na mdoli! 7. Kujamba mbele ya watu ukiwa umevaa headphone ukidhani watu hawatasikia? Hebu watumie kipi cha kijinga?
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 10:46:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015