Katika maisha kinachotakiwa si kuwa busy muda wote au kuwahi - TopicsExpress



          

Katika maisha kinachotakiwa si kuwa busy muda wote au kuwahi kupata ukwasi ndio kubarikiwa zaidi ya wengine bali cha muhimu kutambua kila kitu kinatokea kwa mahali na wakati muafaka, kwani unaweza kupata mali miaka kumi mfululizo lakini ukapitwa kama umesimama na mtu mwingine ambae amekusanya mali kwa muda usiozidi mwaka mmoja tu na kuna wengine walitafuta ukwasi kwa miaka zaidi ya hamsini wanafanikiwa kupata tu wanaaga na dunia akuna uonevu hapa, hivyo kuwa na ukwasi isiwe tiketi ya kuwabeza wengine cha muhimu ni kutambua kwamba kuwa na mali ni kutunukiwa uwakala na Mwenyezi Mungu ili iwe nusura kwa wengine ndio maana hata dini zetu zinahimiza utoaji Dhaka kama njia muafaka ya kukuza uhusiano kati ya masikini na matajiri kupitia mgawanyo wa mali zake kupitia kwa binadamu.
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 07:58:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015