Kipindi cha Televisheni cha BIBI BOMBA kinachorushwa CLOUDSTV kina - TopicsExpress



          

Kipindi cha Televisheni cha BIBI BOMBA kinachorushwa CLOUDSTV kina nyota 1, daraja E, kwa tathimini hii inamaanisha ni kiwango chake ni hafifu sana. Karibu utoe tathimini yako katika bidhaa au huduma mbalimbali unazotumia hapa nchini. Kufanya hivyo utawasaidia watanzania wengine kufahamu ubora halisi wa soko letu na kufanya maamuzi sahii, pia utawasaidia wafanyabiashara na watafiti kuboresha bidhaa na huduma wanazozipeleka sokoni. Tembelea wall ya Sokoni Tanzania na utoe tathimini yako kumbuka nyota 5 ni huduma au bidhaa bora sana, nyota 4 ni huduma au bidhaa bora, nyota 3 ni huduma au bidhaa za kiwango cha wastani, nyota 2 ni huduma au bidhaa dhaifu, nyota 1 ni huduma au bidhaa mbovu
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 13:59:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015