Ktk uchaguzi mkuu ujao inabidi tumpigie kura YESU ili awe Rais - TopicsExpress



          

Ktk uchaguzi mkuu ujao inabidi tumpigie kura YESU ili awe Rais wetu, kwani anaweza Wizara zote: Wizara ya Elimu, YESU ni mwalimu. Wizara ya maji, YESU ni maji ya uzima. Wizara ya chakula, YESU ni mkate chakula cha uzima. Wizara ya mifugo, YESU ni mchungaji mwema. Wizara ya sheria na katiba, YESU hakimu wa haki. Wizara ya usafirishaji, YESU ni njia ya uzima. Wizara ya wanyamapori, YESU ni simba wa Yuda. Wizara ya afya, YESU ni tabibu wa kweli. Wizara ya misitu, YESU ni mti wa uzima na mzabibu wa kweli. Wizara ya nishati, YESU ni nuru ya ulimwengu. TUMPE KURA ZOTE ZA NDIYO kwani anatufaaa. Mchana mwema.
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 11:09:40 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015