Kuna jamaa alilala juu ya mti kumbe chn ya mti ule wachawi wanakutana,walpofka pale wakaanza kujitambulisha, mimi mchawi kutoka Kisii. Mimi mchawi kutoka Nakuru, mimi kutoka Kisumu, mimi kutoka Busia. Jamaa anawasikiliza tu akatokea mmoja mimi mchawi kutoka KISMAYU... jamaa akasema mmh huyu atajilipua hawachelewagi hawa akaruka puu! nae akajitambulisha mm ni mchawi toka MBINGUNI. Wote mbiiooooh!.....
Posted on: Fri, 08 Nov 2013 18:23:50 +0000