Kuna mwana apa nipo naye dizaini kama jicho lake moja halipo - TopicsExpress



          

Kuna mwana apa nipo naye dizaini kama jicho lake moja halipo sawa...ni kuwa limefumba muda wote!! so anaona kwa jicho moja tuu!! Sasa nimetumwa nikamcheki kama amelala au hajalala...nikamkuta yupo hajalala!! sasa nimerudi sebleni kuwajibu na nikawambia OYAA JAMAA YUPO JICHO!! nikiwa na maana ni jicho moja ndio halijafunga na moja limefunga na ingekuwa yote hayajafunga ndio ningesema YUPO MACHO!! Cha ajabu wooote wananisema nina madharau eti!! Sasa hapo nisaidieni mimi kosa langu likwapi?
Posted on: Mon, 28 Oct 2013 21:02:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015