Kuwa dem si kazi rahisi... 1.Kila mwezi lazima askie - TopicsExpress



          

Kuwa dem si kazi rahisi... 1.Kila mwezi lazima askie uchungu/discomfort/stress 2.Kubeba mtoi siku 270 sio mchezo..Kuvumilia. 3.Virginity ikibreakiwa dem huskia uchungu,,,chali huskia utamu. 4.Kupatwa na hard feelings haraka na machozi huwa karibu sana..Mwanaume kama mimi ni vigumu amwage machozi. 5.Si wengi hukuwa independent they have to rely on men for everything...Ukitupwa kwisha wewe. 6.Negative Consequences za fornication..Manze madem ndio huumia chali ako poa tu. 7.Kuna kitu dem anaweza fanya society imchukie..Na boy akifanya the same thing hapo hakuna shida.. 8.Wanafanya kazi excess...Kupika,kuosha watoi,kufua, ku make sure compound na house iko clean.Mwanaume aki toka job ..Ni kurelax. Thats why i thank God Kuniumba nikiwa Chali. #MUTURA
Posted on: Mon, 05 Aug 2013 08:06:38 +0000

Trending Topics



; min-height:30px;"> 1. Nirupa Roys laptop has got WIDOW-XP installed. 2. Nirupa Roy
Secret of red haired baby After their baby was born, the
American style BBQ ribs Recipe 2.4 kgs pork spare ribs salt
WOUS44 KCRP
Hello fb so i was looking for JOB on all these JOB sites as well

Recently Viewed Topics




© 2015