MACHALI MAFALA VS MACHALI WAJANJA 1.Kichali kifala ni kile hukatia - TopicsExpress



          

MACHALI MAFALA VS MACHALI WAJANJA 1.Kichali kifala ni kile hukatia kila Dame kinaona wakati Chali mjanja ni yule anastick to 1 chick 2.Kichali kifala kitazoesha dame mapenzi ya Pesa kisha unamuita gold diggah akikuacha ilhali sisi wajanja tunaonyesha dame mapenziya thirty hadi hawes kuniacha 3.Kifala huthreaten na kupigana na machali wengine juu ya dame.sisi wajanja tunawachana na huyo dame ka ni player na tunatafta mwingine msupa zaidi 4.Kichali kimbleina ndo ki hutoanishwa credo,lunch,shopping na hata doh ya salon nasisi wajanja tunatumiwa hiyo credoh yake,tunabuyiwagifts na lunch na msupa akitumia hizo madoh za fala 5.Kichali kifala ndio kitaamini every bulshit kinaambiwa na dame wakati sisi wajanjez tunajua vile Eve na Delilah walitenda Adam na Samson...hata Bob Marley alisema No woman no cry so we never trust women 6.Kichali kifala kitakimbia kumwaga ujinga yake kwa post ya Dame kikisema ..aww yur soo hot umenikill..blahblah blah when sisi wajanja tunacomment na kulike mastatus kalikali ka hii na za majamaa wenzetu 7.Kichali kifala kitaarrest tufeelings then kitatusi # admin_KaDennohaty juu nimekimulika wakati sisi wajanja tunaongezea maufala zingine **Madame,,leo ni siku yenu,,ngarieni machali mafala
Posted on: Fri, 19 Jul 2013 20:04:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015