MASHINDANO YA VIJANA YA KIMATAIFA YA ECAYFA (ROLLINGSTONE) - TopicsExpress



          

MASHINDANO YA VIJANA YA KIMATAIFA YA ECAYFA (ROLLINGSTONE) YANAANZA RASMI KESHO TAREHE 4/7/2013 MKOANI ARUSHA. MASHINDANO HAYA YATASHIRIKISHA TIMU 23 ZA U-20 NA TIMU 9 ZA U-15 KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI NDANI NA NJE YA TANZANIA. TIMU HIZO ZIMEPANGWA KWA MAKUNDI KAMA IFUATAVYO:- U-20: KUNDI A 1. Coastal Union 2. JKT Oljoro 3. Testimony Academy 4. Uganda 5. Congo 6. Amon KUNDI B 1. Simba FC 2. Eagle Rangers 3. CIDT 4. Future Stars 5. Kenya 1 6. Dareda KUNDI C 1. Azam FC 2. Dodoma 3. Chakyi FA 4. African Amin 5. Zanzibar 6. Young Life KUNDI D 1. Ruvu Shooting 2. Rolling stone 3. Sekei 4. Meru United 5. Kenya 2 U-15: KUNDI A 1. Rolling stone 2. Chakyi FA 3. Africa Amin 4. Dodoma 5. Testimony Academy KUNDI B 1. Arusha Combine 2. Future Stars 3. Young Life 4. CIDT CHAKYI FA U-15 watafungua mashindano hayo na wenyeji Rolling Stone kesho tarehe 4/7/2013 saa tano kamili asubuhi uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Posted on: Wed, 03 Jul 2013 18:08:22 +0000

Trending Topics



style="margin-left:0px; min-height:30px;"> I have available two. 3 bedroom 2 bath with a master bedroom on
♥ " I WISH TO WIN FINEST PEPLUM KURUNG" ♥ :) Stylish With New
These are those who have registered for the African Masters

Recently Viewed Topics




© 2015